1 Peter 2:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waamini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mheshimuni kila mtu ipasavyo, wapendeni waumini wote, mcheni Mungu, mpeni heshima mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Onesheni heshima kwa watu wote: Wapendeni ndugu zenu na dada zenu waliomo nyumbani mwake Mungu. Mcheni Mungu na mumheshimu mfalme.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waumini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waamini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mheshimuni kila mtu. Wapendeni jamaa ya waaminio. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mheshimuni kila mtu ipasavyo: Wapendeni jamaa ya ndugu waumini, mcheni Mungu, mpeni heshima mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waheshimuni watu wote, wapendeni ndugu zenu waamini, mcheni Mungu, mheshimuni mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote waheshimuni! Wapendeni ndugu! Mwogopeni Mungu! Mheshimuni mfalme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muwaheshimu watu wote. Muwapende wandugu zenu waamini. Mumwogope Mungu, mumuheshimu mufalme.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Heshimuni walu wote. Upendeni udugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.