1 Peter 2:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wao walio wema na wenye upole tu, bali nao walio wakali.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watumwa mlio nyumbani, watumikieni mabwana wenu kwa heshima yote, siyo tu wale walio wapole na wenye busara, bali hata wale walio wakali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wema na wapole peke yao, bali pia wale walio wakali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wale walio wema na wenye upole tu, bali pia wale walio wakali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watumishi wa nyumbani, watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au wenye kuchukiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi watumishi, watiini mabwana zenu na woga wote! Msiwatii wale tu walio wema na wapole, ila nao walio wakali!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa hofu nyingi, sio wao walio wema na wenye upole tu, bali nao walio wakali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi watumishi, muwatii wabwana wenu na kuwapa heshima yote, si wale wanaokuwa wema na wapole tu, lakini hata wale wanaokuwa wakali vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Enyi watumishi, watiini bwana zenu kwa khofu nyingi; sio wao walio wema na wenye upole fu, bali nao walio wakali.