1 Peter 3:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Mwenyezi Mungu uko kinyume na watendao maovu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bwana huwaangalia wale watendao haki, na husikia maombi yao. Lakini yu kinyume cha wale watendao uovu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake husikiliza maombi yao, bali uso wa Bwana ni dhidi yao watendao maovu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana macho ya Mwenyezi Mungu huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Mwenyezi Mungu uko kinyume na watendao maovu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana uko juu ya watenda mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana macho ya Bwana huwatazama walio waongofu, masikio yake huyasikia maombo yao. Lakini uso wa Bwana huwapingia wafanyao mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana macho ya Bwana yanawaelekea wenye haki, nayo masikio yake yanasikiliza maombi yao. Lakini uso wa Bwana unawapinga waovu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombo yao: Bali uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya.