1 Peter 3:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ni nani atakayewadhuru, mkiwa wenye juhudi katika mema?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ikiwa unajaribu kwa bidii kutenda mema, ni nani atakayetaka kukudhuru?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni nani atakayeweza kuwadhuru ninyi kama mkizingatia kutenda mema?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye bidii katika kutenda mema?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ni nani atakayewadhuru, mkiwa wenye juhudi katika mema?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yuko nani atakayewaponza ninyi, mkijikaza kufanya mema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ni nani atakayewadhuru, mkiwa wenye juhudi katika mema?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani atakayewazuru ninyi kama mukiwa wenye bidii katika kutenda mema?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ni nani atakaewadhuru, mkiwa waigaji wa wema?