1 Peter 3:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana ni afadhali kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka kwa sababu ya kutenda uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana ni afadhali kupata mateso kwa ajili ya kutenda mema, ikiwa ni mapenzi ya Mungu, kuliko kuteseka kwa kutenda maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni afadhali kuteswa kwa kutenda mema, ikiwa ndiyo mapenzi ya Mungu, kuliko kwa kutenda mabaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni afadhali kuteseka kwa kutenda mema kuliko kutenda mabaya. Ndiyo, ni bora ikiwa hivyo ndivyo Mungu anavyotaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana ni afadhali kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka kwa sababu ya kutenda uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana ni afadhali kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka kwa sababu ya kutenda uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana ni afadhali kupata mateso kwa ajili ya kutenda mema kama kuteseka huko ndiyo mapenzi ya Mungu, kuliko kuteseka kwa kutenda maovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana ni afadhali kupata mateso kwa ajili ya kutenda mema, kama kuteseka huko ndiyo mapenzi ya Mwenyezi Mungu, kuliko kuteseka kwa kutenda maovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni afadhali kuteswa kwa kutenda mema, ikiwa ndiyo mapenzi ya Mungu, kuliko kwa kutenda mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana ni afadhali kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, kama Mungu akipenda, kuliko kuteseka kwa sababu ya kutenda uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kuteswa kwa ajili ya kutenda mema, Mungu akivitaka, ni vizuri kuliko kuteswa kwa ajili ya kutenda maovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni afadhali kuteswa kwa kutenda mema, ikiwa ndiyo mapenzi ya Mungu, kuliko kwa kutenda mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana kuteswa kwa ajili ya kutenda mema, ikiwa ni mapenzi ya Mungu, ni vizuri kuliko kuteswa kwa ajili ya kutenda mabaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana ni afadhali kuteswa kwa kutenda mema, ikiwa ndio mapenzi ya Mungu, kuliko kwa kutenda mabaya.