1 Peter 3:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kwa maisha yake ya kiroho alikwenda kuwahubiria wale roho waliokuwa kifungoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kufanywa hai, alienda na kuzihubiria roho zilizokuwa kifungoni:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kwa Roho alikwenda akazihubiri roho zilizo kifungoni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kwa maisha yake ya kiroho alikwenda kuwahubiria wale roho waliokuwa kifungoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kwa maisha yake ya kiroho alikwenda kuwahubiria wale roho waliokuwa kifungoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambayo kwa hiyo alikwenda na kuzihubiria roho zilizokuwa kifungoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kufanywa hai, alikwenda na kuzihubiria roho zilizokuwa kifungoni:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiria;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kwa maisha yake ya kiroho alikwenda kuwahubiria wale roho waliokuwa kifungoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo aliwaendea wazimu nao mle, waliomo kifungoni, akawapigia mbiu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa njia ya huyu Roho alienda hata kuhubiri roho zilizokuwa katika kifungo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni,