1 Peter 3:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambaye alikwenda mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala juu ya malaika, wakuu na wenye enzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ameingia mbinguni na amekaa mkono wa kuume wa Mungu; nao malaika, mamlaka na nguvu zote zimetiishwa chini yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye yupo mkono wa kuume wa Mungu, amekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zikiisha kutiishwa chini yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa yupo mbinguni upande wa kuume wa Mungu, na anatawala juu ya malaika, mamlaka na nguvu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ambaye alikwenda mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala juu ya malaika, wakuu na wenye enzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambaye alikwenda mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala juu ya malaika, wakuu na wenye enzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye ameingia mbinguni na amekaa mkono wa kuume wa Mungu: pamoja na malaika, mamlaka na nguvu zote vikiwa vimetiishwa chini yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ameingia mbinguni na amekaa mkono wa kuume wa Mungu; nao malaika, mamlaka na nguvu zote wametiishwa chini yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye yuko katika mkono wa kuume wa Mungu, amekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zikiisha kutiishwa chini yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambaye alikwenda mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa Mungu, anatawala juu ya malaika, wakuu na wenye enzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye yuko kuumeni kwa Mungu, maana amekwenda mbinguni, atiiwe nao malaika na wenye nguvu na wenye uwezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye yupo mkono wa kuume wa Mungu, amekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zikiisha kutiishwa chini yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliyepanda mbinguni, na anayekaa na mamlaka kwa kuume kwa Mungu, akitawala wamalaika, nao wenye mamlaka na uwezo wanaokuwa katika mbingu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
alioko mkono wa kuume wa Mungu, amekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zimetiishwa chini yake.