1 Peter 4:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini itawapasa wao kutoa maelezo kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini itawalazimu kukutana na Mungu na kutoa maelezo juu ya yale waliyoyatenda. Yeye ndiye atakaye hukumu watu wote muda si mrefu, walio hai sasa na wale waliokwisha kufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu wazima na wafu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini itawapasa wao kutoa hesabu mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini itawapasa wao kutoa hesabu mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini atakayewalipiza ni yeye aliye tayari kuwahukumu wanaoishi nao waliokufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu hawa watasamba maneno yao mbele ya Mungu anayekwisha kuwa tayari kwa kuhukumu wafu na wazima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
watakaotoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hayi na waliokufa.