1 Peter 4:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manung’uniko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung'unika;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mkaribishane ninyi kwa ninyi katika nyumba zenu na kushiriki chakula kwa pamoja pasipo manunguniko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Muwe na ukarimu ninyi kwa ninyi bila kunung'unika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manung'uniko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuweni wakarimu kila mtu na mwenzake pasipo manung’uniko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung'unika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Muwe na ukarimu nyinyi kwa nyinyi bila kunung'unika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkaribishane pasipo kunung'unika!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung’unika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukaribishane ninyi kwa ninyi pasipo kunungunika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mwe wakaribishaji ninyi kwa ninyi, pasipo kunnngʼunika;