1 Peter 5:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani nyinyi mlio wake Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mpeni kila mmoja wenu salamu maalumu mnapokutana. Amani iwe kwenu ninyi nyote mlio katika Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani ninyi mlio wake Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani nyinyi mlio wake Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo. Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Salimianeni kwa ishara ya upendo wa Kikristo. Nawatakieni amani nyinyi mlio wake Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwamkiane na kunoneana kwa kupendana! Utengemano uwakalie nyote mlio wake Kristo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musalimiane kwa upendo wa kindugu. Ninawatakia amani ninyi watu wote wa Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Salimianeni kwa busu la upendo. Amani na iwe kwenu nyote, katika Kristo Yesu. Amin.