1 Peter 5:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye anajishughulisha sana na mambo yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mpeni Mungu masumbufu yenu yote, kwa sababu Yeye anawajali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote kwa maana hujishughulisha sana na mambo yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtwikeni yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana na mambo yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtupieni Mungu yote, myahangaikiayo! Kwani yeye huwatunza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumutolee masumbuko yenu yote kwa maana yeye anawashugulikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mkimtwika yeye taabu zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana katika mambo yenu.