1 Samuel 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hana alikuwa na huzuni sana. Na alipokuwa anamwomba Mwenyezi-Mungu akawa analia kwa uchungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa uchungu wake mwingi Hana alimwomba Mwenyezi Mungu, akilia kwa uchungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo mwanamke alikuwa na uchungu rohoni mwake, akamwomba Bwana akalia sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hana alikuwa na huzuni sana. Na alipokuwa anamwomba Mwenyezi-Mungu akawa analia kwa uchungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa uchungu wa rohoni Hana alilia sana na akamwomba BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa uchungu wa rohoni Hana alilia sana na akamwomba bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye huyo mwanamke alikuwa na uchungu rohoni mwake, akamwomba BWANA akalia sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hana alikuwa na huzuni sana. Na alipokuwa anamwomba Mwenyezi-Mungu akawa analia kwa uchungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yake Hana ilikuwa yenye uchungu, akamlalamikia Bwana na kulia machozi mengi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo mwanamke alikuwa na uchungu rohoni mwake, akamwomba BWANA akalia sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hana alikuwa na huzuni sana. Na alipokuwa anamwomba Yawe akakuwa analia kwa uchungu.