1 Samuel 1:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hana aliendelea kumwomba Mwenyezi-Mungu kwa muda mrefu, na kuhani Eli akawa anaangalia midomo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa anaendelea kumwomba Mwenyezi Mungu, Eli alichunguza kinywa chake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, hapo alipodumu kuomba mbele za Bwana, Eli akamwangalia kinywa chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hana aliendelea kumwomba Mwenyezi-Mungu kwa muda mrefu, na kuhani Eli akawa anaangalia midomo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa anaendelea kumwomba BWANA, Eli alichunguza kinywa chake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa anaendelea kumwomba bwana, Eli alichunguza kinywa chake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, hapo alipoendelea kuomba mbele za BWANA, Eli akamwangalia kinywa chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hana aliendelea kumwomba Mwenyezi-Mungu kwa muda mrefu, na kuhani Eli akawa anaangalia midomo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, alipozidi kumlalamikia Bwana, Eli alikuwa anakiangalia kinywa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, hapo alipodumu kuomba mbele za BWANA, Eli akamwangalia kinywa chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hana aliendelea kumwomba Yawe kwa muda murefu, na kuhani Eli akakuwa anaangalia midomo yake.