1 Samuel 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achilia mbali mvinyo wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hata lini? Achilia mbali divai yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akamwambia, “Utaendelea kulewa mpaka lini? Achilia mbali mvinyo yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akamwambia, “Utaendelea kulewa mpaka lini? Achilia mbali mvinyo wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hadi lini? Achilia mbali divai yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo Eli akamwambia, “Utaendelea kulewa hadi lini? Achana na kunywa divai.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Eli akamwambia: Utalewa mpaka lini? Acha, mvinyo, uliyoinywa, ikuondokee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Eli akamwambia, Je! Utakuwa mlevi hata lini? Achilia mbali divai yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Eli akamwambia: “Utaendelea kulewa mpaka wakati gani? Achana na kunywa divai.”