1 Samuel 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elkana alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na wa pili Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na wake wawili; mmoja aliitwa Hana na mwingine Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na mtoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye alikuwa na wake wawili; jina lake mmoja akiitwa Hana, na jina lake wa pili aliitwa Penina; naye huyo Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elkana alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na wa pili Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na mwingine Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na mtoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na mwingine Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na mtoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye alikuwa na wake wawili; jina lake mmoja akiitwa Hana, na jina lake wa pili aliitwa Penina; naye huyo Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elkana alikuwa na wake wawili, mmoja aliitwa Hana na wa pili Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa na wanawake wawili, mmoja jina lake Hana, wa pili jina lake Penina; huyu Penina alikuwa ana watoto, naye Hana alikuwa hana watoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye alikuwa na wake wawili; jina lake mmoja akiitwa Hana, na jina lake wa pili aliitwa Penina; naye huyo Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakuwa na watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elekana alikuwa na wake wawili, mumoja aliitwa Hana na wa pili Penina. Penina alikuwa na watoto, lakini Hana hakukuwa na watoto.