1 Samuel 1:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elkana na jamaa yake yote wakaenda tena Shilo na kumtolea Mwenyezi-Mungu tambiko ya kila mwaka na kutimiza nadhiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huyo mtu Elkana alipopanda pamoja na jamaa yake yote kutoa dhabihu ya mwaka kwa Mwenyezi Mungu na kutimiza nadhiri yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha yule mtu, Elkana, na watu wote wa nyumbani mwake, wakakwea kwenda kumtolea Bwana dhabihu ya mwaka, na nadhiri yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elkana na jamaa yake yote wakaenda tena Shilo na kumtolea Mwenyezi-Mungu tambiko ya kila mwaka na kutimiza nadhiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huyo mtu Elikana alipopanda pamoja na jamaa yake yote kutoa dhabihu ya mwaka kwa BWANA na kutimiza nadhiri yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huyo mtu Elikana alipanda pamoja na jamaa yake yote kutoa dhabihu ya mwaka kwa bwana na kutimiza nadhiri yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha yule mtu, Elkana, na watu wote wa nyumbani mwake, wakakwea kwenda kumtolea BWANA dhabihu ya mwaka, na nadhiri yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elkana na jamaa yake yote wakaenda tena Shilo na kumtolea Mwenyezi-Mungu tambiko ya kila mwaka na kutimiza nadhiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha yule Elkana alipopanda pamoja nao wote walio wa mlango wake kumtolea Bwana ng'ombe ya tambiko ya zile siku, walizomwagia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha yule mtu, Elkana, na watu wote wa nyumbani mwake, wakakwea kwenda kumtolea BWANA dhabihu ya mwaka, na nadhiri yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elekana na jamaa yake yote wakaenda tena Shilo na kumutolea Yawe sadaka ya kila mwaka na kutimiza kiapo.