1 Samuel 1:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokwisha kumchinja yule fahali, walimpeleka mtoto kwa kuhani Eli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokwisha kumchinja yule fahali, wakamleta mtoto kwa Eli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakamchinja huyo ng'ombe, wakamleta mtoto kwa Eli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokwisha kumchinja yule fahali, walimpeleka mtoto kwa kuhani Eli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati walipokwisha kumchinja yule fahali, wakamleta mtoto kwa Eli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokwisha kumchinja yule fahali, wakamleta mtoto kwa Eli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakamchinja huyo ng'ombe, wakamleta mtoto kwa Eli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokwisha kumchinja yule fahali, walimpeleka mtoto kwa kuhani Eli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakachinja ng'ombe, kisha wakampeleka yule mtoto kwa Eli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakamchinja huyo ng’ombe, wakamleta mtoto kwa Eli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokwisha kuchinja yule ngombe dume, walimupeleka mutoto kwa kuhani Eli.