1 Samuel 1:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niliomba mtoto huyu, naye Mwenyezi Mungu amenijalia kile nilichomwomba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naliomba nipewe mtoto huyu; Bwana akanipa dua yangu niliyomwomba;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niliomba mtoto huyu, naye BWANA amenijalia kile nilichomwomba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niliomba mtoto huyu, naye bwana amenijalia kile nilichomwomba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Niliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalimlalamikia kwa ajili ya mtoto huyu, Bwana akanipa maombo yangu, niliyomwomba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilimwomba anipe mutoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba.