1 Samuel 1:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini alimpa Hana fungu maradufu kwa sababu alimpenda, ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amemfunga tumbo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa Bwana alikuwa amemfunga tumbo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini alimpa Hana fungu maradufu kwa sababu alimpenda, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini alimpa Hana fungu maradufu kwa sababu alimpenda, ingawa bwana alikuwa amemfunga tumbo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Hana akampa kipande kimoja mara mbili, kwani alimpenda Hana, lakini Bwana alikuwa amelifunga tumbo lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elekana alimupa Hana fungu kubwa la nyama ya sadaka kwa sababu alimupenda sana ingawa Yawe hakumujalia watoto.