1 Samuel 10:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Babaye mdogo Sauli akasema, Tafadhali uniambie, huyo Samweli aliwaambiaje?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Babaye mdogo Sauli akasema, Tafadhali niambie, huyo Samweli aliwaambiaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mjomba wake Sauli akasema: Nisimulie, Samweli aliyowaambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Babaye mdogo Sauli akasema, Tafadhali uniambie, huyo Samweli aliwaambiaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule baba mudogo wa Saulo akamwambia: “Tafazali, uniambie kile Samweli alichokuambia.”