1 Samuel 10:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa Mwenyezi Mungu huko Mispa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Samweli akawakusanya watu mbele za Bwana huko Mispa
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa BWANA huko Mispa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akawaita watu wa Israeli kuja kwa bwana huko Mispa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu huko Mizpa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akawaita watu kuja kwake Bwana huko Misipa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Samweli akawakusanya watu mbele za BWANA huko Mispa
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli aliwaita watu wote wakusanyike mbele ya Yawe kule Misipa.