1 Samuel 10:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Samueli akayapanga makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Samweli akawaleta kabila zote za Israeli karibu; na kabila ya Benyamini ikatwaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Samueli akayapanga makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Samweli akayaleta makabila yote ya Israeli karibu; na kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Samueli akayapanga makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli alipokwisha kuyafikisha mashina yote, wakipiga kura, likashikwa shina la Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Samweli akawaleta kabila zote za Israeli karibu; na kabila ya Benyamini ikatwaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Samweli akayapanga makabila yote ya Waisraeli, kabila la Benjamina likaangukiwa na kura.