1 Samuel 10:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwuliza Mungu tena, “Je, kuna mtu zaidi anayekuja?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Anajificha kwenye mizigo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakazidi kuuliza kwa Mwenyezi Mungu, “Je, huyo mtu amekwisha kufika hapa?” Naye Mwenyezi Mungu akasema, “Ndiyo, amejificha kwenye mizigo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakazidi kumwuliza Bwana, Amebaki mtu asiyekuja huku bado? Naye Bwana akajibu, Tazama, amejificha penye mizigo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwuliza Mungu tena, “Je, kuna mtu zaidi anayekuja?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Anajificha kwenye mizigo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakazidi kuuliza kwa BWANA, “Je, huyo mtu amekwisha kufika hapa?” Naye BWANA akasema, “Ndiyo, amejificha katikati ya mizigo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakazidi kuuliza kwa bwana, “Je, huyo mtu amekwisha kufika hapa?” Naye bwana akasema, “Ndiyo, amejificha katikati ya mizigo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakazidi kumwuliza BWANA, Amebaki mtu asiyekuja huku bado? Naye BWANA akajibu, Tazama, amejificha kwenye mizigo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwuliza Mungu tena, “Je, kuna mtu zaidi anayekuja?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Anajificha kwenye mizigo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipomwuliza Bwana tena: Mtu huyu amefika kweli huku? Bwana akajibu: Mtazameni, amejificha kwenye mizigo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakazidi kumwuliza BWANA, Amebaki mtu asiyekuja huku bado? Naye BWANA akajibu, Tazama, amejificha penye mizigo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwuliza Mungu tena: “Kuna mutu zaidi anayekuja?” Yawe akawajibu: “Anajificha kwenye mizigo.”