1 Samuel 10:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pia, Shauli pamoja na wapiganaji hodari ambao awali Mungu aligusa mioyo yao, alikwenda nyumbani kwake huko mjini Gibea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli pia akaenda nyumbani mwake huko Gibea, akisindikizwa na watu hodari ambao Mungu alikuwa amegusa mioyo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli naye akaenda nyumbani kwake huko Gibea; na pamoja naye wakaenda kikosi cha watu, ambao Mungu alikuwa ameigusa mioyo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pia, Shauli pamoja na wapiganaji hodari ambao awali Mungu aligusa mioyo yao, alikwenda nyumbani kwake huko mjini Gibea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli pia akaenda nyumbani kwake huko Gibea, akisindikizwa na watu hodari ambao Mungu alikuwa amegusa mioyo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli pia akaenda nyumbani kwake huko Gibea, akisindikizwa na watu hodari ambao Mungu alikuwa amegusa mioyo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli naye akaenda nyumbani kwake huko Gibea; na pamoja naye wakaenda kikosi cha watu, ambao Mungu alikuwa ameigusa mioyo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pia, Shauli pamoja na wapiganaji hodari ambao awali Mungu aligusa mioyo yao, alikwenda nyumbani kwake huko mjini Gibea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Sauli akaenda zake nyumbani kwake huko Gibea, nao vijana wenye nguvu, Mungu aliowahimiza mioyoni, wakamsindikiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli naye akaenda nyumbani kwake huko Gibea; na pamoja naye wakaenda kikosi cha watu, ambao Mungu alikuwa ameigusa mioyo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, Saulo pamoja na wapiganaji hodari ambao zamani Mungu aligusa mioyo yao, alikwenda kwake kule katika muji wa Gibea.