1 Samuel 10:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Watakusalimia na kukupa mikate miwili, nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakusalimu na kukupa mikate miwili, ambayo utaipokea kutoka kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao watakusalimu na kukupa mikate miwili; nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Watakusalimia na kukupa mikate miwili, nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakusalimu na kukupa mikate miwili, ambayo utaipokea kutoka kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakusalimu na kukupa mikate miwili, ambayo utaipokea kutoka kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao watakusalimu na kukupa mikate miwili; nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Watakusalimia na kukupa mikate miwili, nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watakuamkia na kukupa mikate miwili, nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao watakusalimu na kukupa mikate miwili; nawe utaipokea mikononi mwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Watakusalimia na kukupa mikate miwili, nawe utaipokea toka katika mikono yao.