1 Samuel 10:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakujia kwa nguvu, nawe utaanza kutabiri pamoja nao na kugeuka kuwa mtu mwingine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho wa Mwenyezi Mungu atakuja juu yako kwa nguvu, nawe utatoa unabii pamoja nao; nawe utageuzwa kuwa mtu wa tofauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na roho ya Bwana itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakujia kwa nguvu, nawe utaanza kutabiri pamoja nao na kugeuka kuwa mtu mwingine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho wa BWANA atakuja juu yako kwa nguvu, nawe utatoa unabii pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu wa tofauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho wa bwana atakuja juu yako kwa nguvu, nawe utatoa unabii pamoja nao; nawe utageuzwa kuwa mtu wa tofauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Roho ya BWANA itakujia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakujia kwa nguvu, nawe utaanza kutabiri pamoja nao na kugeuka kuwa mtu mwingine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, roho ya Bwana itakapokujia, ufumbue pamoja nao; ndivyo, utakavyogeuzwa kuwa mtu mwingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na roho ya BWANA itakujilia kwa nguvu, nawe utatabiri pamoja nao, nawe utageuzwa kuwa mtu mwingine.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho wa Yawe atakufikia kwa nguvu, nawe utaanza kutabiri pamoja nao na kugeuka kuwa mutu mwingine.