1 Samuel 12:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akawaambia Waisraeli wote, “Yote mliyoniambia, nimeyasikiliza. Nimemtawaza mfalme juu yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akawaambia Israeli wote, “Nimesikiliza kila kitu mlichoniambia nami nimewawekea mfalme juu yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Samweli akawaambia Israeli wote, Angalieni, nimeisikiliza sauti yenu katika hayo yote mliyoniambia, nami nimemtawaza mfalme juu yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akawaambia Waisraeli wote, “Yote mliyoniambia, nimeyasikiliza. Nimemtawaza mfalme juu yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akawaambia Israeli wote, “Nimesikiliza kila kitu mlichoniambia nami nimewawekea mfalme juu yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akawaambia Israeli wote, “Nimesikiliza kila kitu mlichoniambia nami nimewawekea mfalme juu yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Samweli akawaambia Israeli wote, Angalieni, nimeisikiliza sauti yenu katika hayo yote mliyoniambia, nami nimemtawaza mfalme juu yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akawaambia Waisraeli wote, “Yote mliyoniambia, nimeyasikiliza. Nimemtawaza mfalme juu yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akawaambia Waisiraeli wote: Tazameni! Nimeviitikia vinywa vyenu katika mambo yote, mliyoniambia, nikawapa hata mfalme wa kuwatawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Samweli akawaambia Israeli wote, Angalieni, nimeisikiliza sauti yenu katika hayo yote mliyoniambia, nami nimemtawaza mfalme juu yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akawaambia Waisraeli wote: “Maneno yote muliyoniambia, nimeyasikiliza. Nimemusimika mufalme juu yenu.