1 Samuel 12:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo Mwenyezi Mungu anaenda kulifanya mbele ya macho yenu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa simameni, mkalione jambo hili kubwa, Bwana atakalolitenda mbele ya macho yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo BWANA anakwenda kulifanya mbele ya macho yenu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo bwana anakwenda kulifanya mbele ya macho yenu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa simameni, mkalione jambo hili kubwa, BWANA atakalolitenda mbele ya macho yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa simameni hapa, mlione jambo hili kubwa, Bwana atakalolifanya machoni penu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa simameni, mkalione jambo hili kubwa, BWANA atakalolitenda mbele ya macho yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo basi, mutulie na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Yawe atatenda mbele yenu.