1 Samuel 12:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Samweli akamwomba Mwenyezi Mungu, na siku ile ile Mwenyezi Mungu akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi Mungu na Samweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Samweli akamwomba Bwana, naye Bwana akapeleka ngurumo na mvua siku ile; nao watu wote wakamwogopa Bwana sana, na Samweli pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Samweli akamwomba BWANA, na siku ile ile BWANA akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana BWANA na Samweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Samweli akamwomba bwana, na siku ile ile bwana akatuma ngurumo na mvua. Hivyo watu wote wakamwogopa sana bwana na Samweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Samweli akamwomba BWANA, naye BWANA akatuma ngurumo na mvua siku ile; nao watu wote wakamwogopa BWANA sana, na Samweli pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Samueli akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Mwenyezi-Mungu na Samueli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Samweli alipomwomba Bwana, Bwana akaleta ngurumo na mvua siku hiyohiyo; ndipo, watu wote walipoingiwa na woga wa kumwogopa sana Bwana, hata Samweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Samweli akamwomba BWANA, naye BWANA akapeleka ngurumo na mvua siku ile; nao watu wote wakamwogopa BWANA sana, na Samweli pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Samweli akamwomba Yawe, naye akatuma radi na mvua katika siku hiyo. Watu wote wakamwogopa sana Yawe na Samweli.