1 Samuel 12:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache Mwenyezi Mungu, bali mtumikieni Mwenyezi Mungu kwa moyo wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata Bwana, bali mtumikieni Bwana kwa mioyo yenu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa moyo wenu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache bwana, bali mtumikieni bwana kwa moyo wenu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli akawaambia watu: Msiogope! Kweli ninyi mmeyafanya hayo mabaya yote, lakini msijiendee tena mkiacha kumfuata Bwana, ila mtumikieni Bwana kwa mioyo yenu yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akawajibu: “Musiogope. Ingawa mumefanya uovu huu, musiache kumufuata Yawe, lakini mumutumikie kwa moyo wenu wote.