1 Samuel 12:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msigeukie sanamu batili. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiondoke kwake na kufuata mambo ya ovyoovyo tu yasiyofaa, nayo hayaponyi kwa kuwa ya ovyoovyo tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiifuate miungu ya uongo isiyokuwa na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo.