1 Samuel 12:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya jina lake kuu Mwenyezi Mungu hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza Mwenyezi Mungu kuwafanya watu wake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana Bwana hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza Bwana kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya jina lake kuu BWANA hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza BWANA kuwafanya kuwa wake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya jina lake kuu bwana hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza bwana kuwafanya kuwa wake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana BWANA hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza BWANA kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani walio ukoo wake Bwana hatawatupa kwa ajili ya Jina lake kuu; kwani ndiye Bwana mwenyewe aliyewataka kuwa ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana BWANA hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza BWANA kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa heshima ya jina lake kubwa, Yawe hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya ninyi mukuwe watu wake.