1 Samuel 12:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nyinyi mcheni Mwenyezi-Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote. Kumbukeni yale mambo makuu aliyowatendea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hakikisheni mnamcha Mwenyezi Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mcheni Bwana tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nyinyi mcheni Mwenyezi-Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote. Kumbukeni yale mambo makuu aliyowatendea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hakikisheni mnamcha BWANA na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote, tafakarini ni mambo gani makubwa aliyotenda kwa ajili yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hakikisheni mnamcha bwana na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote; tafakarini mambo makubwa aliyoyatenda kwa ajili yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nyinyi mcheni Mwenyezi-Mungu na kumtumikia kwa uaminifu kwa moyo wenu wote. Kumbukeni yale mambo makuu aliyowatendea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mcheni tu Bwana na kumtumikia kweli kwa mioyo yenu yote, kwani mmeyaona makuu, Bwana aliyowafanyizia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ninyi mumutii Yawe na kumutumikia kwa uaminifu, kwa moyo wenu wote. Mukumbuke yale mambo makubwa aliyowatendea.