1 Samuel 12:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama mkiendelea kutenda maovu, mtaangamia nyinyi wenyewe pamoja na mfalme wenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo mkiendelea kufanya uovu, ninyi na mfalme wenu mtafutiliwa mbali!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama mkiendelea kutenda maovu, mtaangamia nyinyi wenyewe pamoja na mfalme wenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo mkiendelea kufanya uovu, ninyi na mfalme wenu mtafutiliwa mbali!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo mkiendelea kufanya uovu, ninyi na mfalme wenu mtafutiliwa mbali!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama mkiendelea kutenda maovu, mtaangamia nyinyi wenyewe pamoja na mfalme wenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtakapofanya mabaya, mtaangamizwa ninyi na mfalme wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kama mkiendelea kutenda mabaya, mtaangamia, ninyi na mfalme wenu pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama mukiendelea kutenda maovu, mutaangamia ninyi wenyewe pamoja na mufalme wenu.”