1 Samuel 12:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wakamjibu, “Kamwe hujatudanganya, hujatukandamiza, wala hujachukua kitu chochote kwa mtu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakajibu, “Hujatudanganya wala kutudhulumu. Hujapokea chochote kutoka mkono wa mtu yeyote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakasema, hukutudhulumu, wala hukutuonea, wala hukupokea kitu kwa mkono wa mtu awaye yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wakamjibu, “Kamwe hujatudanganya, hujatukandamiza, wala hujachukua kitu chochote kwa mtu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakajibu, “Hujatudanganya wala kutuonea. Hujapokea cho chote kutoka kwenye mkono wa mtu awaye yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakajibu, “Hujatudanganya wala kutuonea. Hujapokea chochote kutoka kwenye mkono wa mtu awaye yote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakasema, Hukutudhulumu, wala hukutuonea, wala hukupokea kitu kwa mkono wa mtu awaye yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wakamjibu, “Kamwe hujatudanganya, hujatukandamiza, wala hujachukua kitu chochote kwa mtu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakamwambia: Hukutukorofisha, wala hukutuponda, wala hukuchukua cho chote mkononi mwa mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakasema, hukutudhulumu, wala hukutuonea, wala hukupokea kitu kwa mkono wa mtu awaye yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wakamujibu: “Haujatudanganya hata kidogo, haujatugandamiza, wala haujakamata kitu chochote kwa mutu.”