1 Samuel 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Samweli akawaambia watu, “Mwenyezi Mungu ndiye alimchagua Musa na Haruni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akawaambia watu, Ni yeye Bwana aliyewaweka Musa na Haruni, ndiye yeye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Samweli akawaambia watu, “BWANA ndiye aliyemchagua Mose na Aroni na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Samweli akawaambia watu, “ bwana ndiye alimchagua Musa na Haruni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akawaambia watu, Ni yeye BWANA aliyewaweka Musa na Haruni, yeye ndiye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akawaambia watu: Ni yeye Bwana aliyemwumba Mose naye Haroni, aliyewatoa baba zenu katika nchi ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akawaambia watu, Ni yeye BWANA aliyewaweka Musa na Haruni, ndiye yeye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akawaambia: “Yawe ndiye aliyemuchagua Musa na Haruni na kuwaondoa babu zenu katika inchi ya Misri.