1 Samuel 12:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa simameni papo hapo mlipo ili mimi na nyinyi tuhukumiwe mbele ya Mwenyezi-Mungu, nami nitawahutubia kuhusu matendo yake ya ajabu ambayo aliyatenda ili kuwaokoa nyinyi na babu zenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa basi, simameni hapa, kwa sababu nitakabiliana nanyi kwa ushahidi mbele za Mwenyezi Mungu wa matendo yote ya haki yaliyofanywa na Mwenyezi Mungu kwenu na kwa baba zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa simameni, ili niwahutubie mbele za Bwana, kwa kutaja matendo yote ya haki ya Bwana, aliyowatendea ninyi na baba zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa simameni papo hapo mlipo ili mimi na nyinyi tuhukumiwe mbele ya Mwenyezi-Mungu, nami nitawahutubia kuhusu matendo yake ya ajabu ambayo aliyatenda ili kuwaokoa nyinyi na babu zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa basi, simameni hapa, kwa sababu ninakwenda kukabiliana nanyi kwa ushahidi mbele za BWANA kwa matendo yote ya haki yaliyofanywa na BWANA kwenu na kwa baba zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa basi, simameni hapa, kwa sababu nitakabiliana nanyi kwa ushahidi mbele za bwana wa matendo yote ya haki yaliyofanywa na bwana kwenu na kwa baba zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa simameni, ili niwahutubie mbele za BWANA, kwa kutaja matendo yote ya haki ya BWANA, aliyowatendea ninyi na baba zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa simameni papo hapo mlipo ili mimi na nyinyi tuhukumiwe mbele ya Mwenyezi-Mungu, nami nitawahutubia kuhusu matendo yake ya ajabu ambayo aliyatenda ili kuwaokoa nyinyi na babu zenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa jipangeni, nisemezane nanyi usoni pake yeye Bwana kwa ajili ya wongofu wote, Bwana aliowatendea ninyi na baba zenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa simameni, ili niwahutubie mbele za BWANA, kwa kutaja matendo yote ya haki ya BWANA, aliyowatendea ninyi na baba zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa musimame palepale munapokuwa kusudi mimi na ninyi tuhukumiwe mbele ya Yawe, nami nitawahutubia juu ya matendo yake ya ajabu ambayo aliyatenda kwa kuwaokoa ninyi na babu zenu.