1 Samuel 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha alipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka … miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli alikuwa na umri wa miaka thelathini, alipokuwa mfalme, akatawala Israeli miaka arobaini na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha alipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka…miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli alikuwa na miaka thelathini, alipokuwa mfalme, akatawala Israeli miaka arobaini na miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli alikuwa na miaka thelathini, alipokuwa mfalme, akatawala Israeli miaka arobaini na miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha hapo alipoanza kutawala; naye akatawala miaka kadha wa kadha juu ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha alipoanza kutawala. Na alitawala Israeli kwa muda wa miaka … miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipoupata ufalme alikuwa mwenye miaka (30); naye Sauli alipokuwa mfalme wa Waisiraeli miaka miwili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli alikuwa na umri wa miaka kadha wa kadha hapo alipoanza kutawala; naye akatawala miaka kadha wa kadha juu ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alikuwa na umri wa miaka alipoanza kuwa mufalme. Na alitawala Waisraeli kwa muda wa miaka miwili.]