1 Samuel 13:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara tu alipokuwa anamaliza kutoa sadaka ya kuteketezwa, Samueli aliwasili. Shauli akatoka nje kwenda kumlaki Samueli na kumsalimia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mara alipomaliza kutoa hiyo sadaka, Samweli akatokea, naye Sauli akaondoka kwenda kumlaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata mara alipokwisha kuitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, kumbe! Samweli akatokea. Naye Sauli akatoka kwenda kumlaki na kumsalimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mara tu alipokuwa anamaliza kutoa sadaka ya kuteketezwa, Samueli aliwasili. Shauli akatoka nje kwenda kumlaki Samueli na kumsalimia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mara alipomaliza kutoa hiyo sadaka, Samweli akatokea, naye Sauli akaondoka kwenda kumlaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mara alipomaliza kutoa hiyo sadaka, Samweli akatokea, naye Sauli akaondoka kwenda kumlaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata mara alipokwisha kuitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, kumbe! Samweli akatokea. Naye Sauli akatoka kwenda kumlaki na kumsalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara tu alipokuwa anamaliza kutoa sadaka ya kuteketezwa, Samueli aliwasili. Shauli akatoka nje kwenda kumlaki Samueli na kumsalimia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, alipokwisha kuiteketeza hiyo ng'ombe ya tambiko, mara Samweli akaja, Sauli akatoka kumwendea njiani na kumpigia magoti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata mara alipokwisha kuitoa hiyo sadaka ya kuteketezwa, kumbe! Samweli akatokea. Naye Sauli akatoka kwenda kumlaki na kumsalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara tu alipokuwa anamaliza kutoa sadaka ya kuteketezwa, Samweli akafika. Saulo akatoka inje kwenda kumupokea Samweli na kumusalimia.