1 Samuel 13:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nikawaza kwamba Wafilisti watakuja kunishambulia huko Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba fadhili za Mwenyezi-Mungu. Ndipo nilipolazimika kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nikawaza, ‘Sasa Wafilisti watateremka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa Mwenyezi Mungu.’ Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za Bwana; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nikawaza kwamba Wafilisti watakuja kunishambulia huko Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba fadhili za Mwenyezi-Mungu. Ndipo nilipolazimika kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nikawaza, ‘Sasa Wafilisti watatelemka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa BWANA.’ Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nikawaza, ‘Sasa Wafilisti watateremka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa bwana.’ Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nilijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nikawaza kwamba Wafilisti watakuja kunishambulia huko Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba fadhili za Mwenyezi-Mungu. Ndipo nilipolazimika kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, nikasema: Sasa Wafilisti watanishukia huku Gilgali, nikiwa sijamtokea Bwana na kumwomba, atuwie mpole; ndipo, nilipojipa moyo, nikatambika na kuiteketeza ng'ombe ya tambiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi nikasema, Wafilisti watanishukia sasa mpaka Gilgali, kabla sijaomba fadhili za BWANA; kwa hiyo nalijishurutisha, nikatoa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nikawaza kama Wafilistini watakuja kunishambulia kule Gilgali. Tena nilikuwa bado sijaomba rehema ya Yawe. Halafu nikalazimishwa kutolea mimi mwenyewe sadaka ya kuteketezwa.”