1 Samuel 13:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli akaondoka kutoka Gilgali na kwenda huko Gibea katika nchi ya Benyamini. Shauli alipowahesabu watu waliokuwa pamoja naye, aliona wako watu 600 tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Samweli akaondoka Gilgali, akapanda Gibea ya Benyamini, naye Sauli akawahesabu watu aliokuwa nao. Jumla yao walikuwa watu mia sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Samweli akaondoka, akapanda kutoka Gilgali mpaka Gibea ya Benyamini. Naye Sauli akawahesabu watu waliokuwapo pamoja naye, wapata kama mia sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli akaondoka kutoka Gilgali na kwenda huko Gibea katika nchi ya Benyamini. Shauli alipowahesabu watu waliokuwa pamoja naye, aliona wako watu 600 tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Samweli akaondoka Gilgali, akapanda Gibea ya Benyamini, naye Sauli akawahesabu watu aliokuwa nao. Jumla yao walikuwa watu 600.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Samweli akaondoka Gilgali, akapanda Gibea ya Benyamini, naye Sauli akawahesabu watu aliokuwa nao. Jumla yao walikuwa watu 600.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Samweli akaondoka, akapanda kutoka Gilgali mpaka Gibea ya Benyamini. Naye Sauli akawahesabu watu waliokuwapo pamoja naye, wakawa kama mia sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli akaondoka kutoka Gilgali na kwenda huko Gibea katika nchi ya Benyamini. Shauli alipowahesabu watu waliokuwa pamoja naye, aliona wako watu 600 tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akaondoka na kutoka Gilgali, akaenda kupanda Gibea wa Benyamini. Naye Sauli akawakagua watu walioonekana kwake, wakawa kama watu 600.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Samweli akaondoka, akapanda kutoka Gilgali mpaka Gibea ya Benyamini. Naye Sauli akawahesabu watu waliokuwapo pamoja naye, wapata kama mia sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akaondoka kutoka Gilgali na kwenda kule Gibea katika inchi ya Benjamina. Saulo alipowahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaona wako watu mia sita tu.