1 Samuel 13:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walitoka kwenye kambi yao kwenda kuwashambulia wakiwa wako katika vikosi vitatu. Kikosi kimoja kilielekea Ofra katika nchi ya Shuali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makundi ya wavamiaji walikuja kutoka kambi ya Wafilisti katika vikosi vitatu. Kikosi kimoja kilielekea Ofra karibu na Shuali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watekaji wa nyara wakatoka katika marago ya hao Wafilisti, vikosi vitatu; kikosi kimoja kikageukia njia iendayo Ofra, mpaka nchi ya Shuali;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walitoka kwenye kambi yao kwenda kuwashambulia wakiwa wako katika vikosi vitatu. Kikosi kimoja kilielekea Ofra katika nchi ya Shuali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makundi ya wavamiaji walikuja kutoka katika kambi ya Wafilisti katika vikosi vitatu. Kikosi kimoja kilielekea Ofra karibu na Shuali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makundi ya wavamiaji walikuja kutoka kambi ya Wafilisti katika vikosi vitatu. Kikosi kimoja kilielekea Ofra karibu na Shuali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watekaji wa nyara wakatoka katika kambi ya hao Wafilisti, vikosi vitatu; kikosi kimoja kikageukia njia iendayo Ofra, mpaka nchi ya Shuali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walitoka kwenye kambi yao kwenda kuwashambulia wakiwa wako katika vikosi vitatu. Kikosi kimoja kilielekea Ofra katika nchi ya Shuali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wenye kuangamiza wakatoka katika makambi ya Wafilisti, nao walikuwa vikosi vitatu; kimoja kikashika njia ya kwenda Ofura katika nchi ya Suali;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watekaji wa nyara wakatoka katika marago ya hao Wafilisti, vikosi vitatu; kikosi kimoja kikageukia njia iendayo Ofra, mpaka nchi ya Shuali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walitoka kwenye kambi yao kwenda kuwashambulia wakiwa katika vikundi vitatu. Kikundi kimoja kilielekea Ofura katika inchi ya Suali.