1 Samuel 13:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kikosi kingine kilielekea Beth-horoni, na kikosi kingine kikageukia njia ielekeayo bonde la Seboimu, kuelekea jangwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kikosi kingine kilielekea Beth-Horoni, nacho kikosi cha tatu kilielekea kwenye nchi ya mpakani ielekeayo Bonde la Seboimu linalotazamana na jangwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kikosi kingine kikageukia njia iendayo Beth-horoni; na kikosi kingine kikageukia njia ya mpakani ielekeayo bonde la Seboimu upande wa nyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kikosi kingine kilielekea Beth-horoni, na kikosi kingine kikageukia njia ielekeayo bonde la Seboimu, kuelekea jangwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kikosi kingine kilielekea Beth-Horoni, nacho kikosi cha tatu kilielekea kwenye nchi ya mpakani ielekeayo Bonde la Seboimu linalotazamana na jangwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kikosi kingine kilielekea Beth-Horoni, nacho kikosi cha tatu kilielekea kwenye nchi ya mpakani ielekeayo Bonde la Seboimu linalotazamana na jangwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kikosi kingine kikageukia njia iendayo Beth-horoni; na kikosi kingine kikageukia njia ya mpakani ielekeayo bonde la Seboimu upande wa nyika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kikosi kingine kilielekea Beth-horoni, na kikosi kingine kikageukia njia ielekeayo bonde la Seboimu, kuelekea jangwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kikosi cha pili kikashika njia ya Beti-Horoni, nacho kikosi cha tatu kikashika njia ya mpakani kunakoelekea Bonde la Mafisi upande wa nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kikosi kingine kikageukia njia iendayo Beth-horoni; na kikosi kingine kikageukia njia ya mpakani ielekeayo bonde la Seboimu upande wa nyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kikundi kingine kilielekea Beti-Horoni, na kikundi kingine kikageukia njia inayoelekea bonde la Zeboimu, kuelekea katika jangwa.