1 Samuel 13:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila Mwisraeli alilazimika kuwaendea Wafilisti kunoa wembe wa plau yake au sururu au shoka au mundu wa kuvunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Waisraeli wote waliteremka kwa Wafilisti ili kila mtu kunoa plau yake, jembe lake, shoka lake, au mundu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini Waisraeli wote hushuka kwa Wafilisti, ili kunoa kila mtu jembe lake, na mundu wake, na shoka lake, na sululu yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila Mwisraeli alilazimika kuwaendea Wafilisti kunoa wembe wa plau yake au sururu au shoka au mundu wa kuvunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Waisraeli wote hutelemka kwa Wafilisti ili kunoa majembe ya plau, majembe ya mkono, mashoka na miundu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Waisraeli wote huteremka kwa Wafilisti ili kunoa majembe ya plau, majembe ya mkono, mashoka na miundu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini Waisraeli wote hushuka kwa Wafilisti, ili kunoa kila mtu jembe lake, na mundu wake, na shoka lake, na sululu yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila Mwisraeli alilazimika kuwaendea Wafilisti kunoa wembe wa plau yake au sururu au shoka au mundu wa kuvunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Waisiraeli hawakuwa na budi kushuka kwao Wafilisti, kama mtu alitaka kunoa tu jembe lake au mundu wake au shoka lake au muo wake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini Waisraeli wote hushuka kwa Wafilisti, ili kunoa kila mtu jembe lake, na mundu wake, na shoka lake, na sululu yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila Mwisraeli alilazimishwa kuwaendea Wafilistini kunoa majembe yake au sururu au shoka au kisu cha kuvuna.