1 Samuel 13:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mwanya wa Mikmashi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi kikosi cha Wafilisti kilikuwa kimetoka kuelekea njia iendayo Mikmashi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mwanya wa Mikmashi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walipeleka kikosi cha askari kwenda kulinda njia ya Mikmashi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kikosi cha Wafilisti kikatoka kwenda penye njia ya magemani huko Mikimasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jeshi la Wafilisti wakatoka hata mwanya wa Mikmashi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walipeleka kikundi cha waaskari kwenda kulinda njia ya Mikimasi.