1 Samuel 13:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alimngoja Samueli kwa muda wa siku saba, kama Samueli alivyosema. Lakini Samueli hakuja huko Gilgali na watu walianza kumwacha Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akangoja kwa siku saba, muda uliowekwa na Samweli; lakini Samweli hakuja Gilgali, nao watu wa Sauli wakaanza kutawanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akangoja siku saba, kwa kadiri ya muhula uliowekwa na Samweli lakini Samweli hakuja Gilgali; na hao watu wakatawanyika mbali naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alimngoja Samueli kwa muda wa siku saba, kama Samueli alivyosema. Lakini Samueli hakuja huko Gilgali na watu walianza kumwacha Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akangoja kwa siku saba, muda uliowekwa na Samweli, lakini Samweli hakuja Gilgali, nao watu wa Sauli wakaanza kutawanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akangoja kwa siku saba, muda uliowekwa na Samweli; lakini Samweli hakuja Gilgali, nao watu wa Sauli wakaanza kutawanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akangoja siku saba, kwa kadiri ya muda uliowekwa na Samweli lakini Samweli hakuja Gilgali; na hao watu wakatawanyika mbali naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alimngoja Samueli kwa muda wa siku saba, kama Samueli alivyosema. Lakini Samueli hakuja huko Gilgali na watu walianza kumwacha Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipongoja zile siku saba alizoagizwa na Samweli, naye Samweli asipokuja, watu wakatawanyika na kumwacha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akangoja siku saba, kwa kadiri ya muhula uliowekwa na Samweli lakini Samweli hakuja Gilgali; na hao watu wakatawanyika mbali naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alimungojea Samweli kwa muda wa siku saba, kama vile Samweli alivyosema. Lakini Samweli hakukuja kule Gilgali na watu walianza kumwacha Saulo.