1 Samuel 14:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wakisema sisi tuwaendee, basi tutawaendea kwani hiyo itakuwa ni ishara kuwa Mwenyezi-Mungu amewatia mikononi mwetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama watasema, ‘Pandeni mje kwetu,’ tutakwea, kwa sababu hiyo itakuwa ishara yetu kwamba Mwenyezi Mungu amewatia mikononi mwetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wakisema hivi, Haya! Ninyi, tupandieni sisi; hapo ndipo tutakapopanda; kwa maana Bwana amewatia mikononi mwetu; na hii itakuwa ndiyo ishara kwetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wakisema sisi tuwaendee, basi tutawaendea kwani hiyo itakuwa ni ishara kuwa Mwenyezi-Mungu amewatia mikononi mwetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama watasema, ‘Pandeni mje kwetu,’ tutakwea, kwa sababu hiyo itakuwa ishara yetu kwamba BWANA amewatia mikononi mwetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama watasema, ‘Pandeni mje kwetu,’ tutakwea, kwa sababu hiyo itakuwa ishara yetu kwamba bwana amewatia mikononi mwetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wakisema hivi, Haya! Ninyi, njoni; hapo ndipo tutakapoenda; kwa maana BWANA amewatia mikononi mwetu; na hii itakuwa ndiyo ishara kwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wakisema sisi tuwaendee, basi tutawaendea kwani hiyo itakuwa ni ishara kuwa Mwenyezi-Mungu amewatia mikononi mwetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini itakapokuwa, watuambie: Tupandieni! basi, tutapanda, kwani Bwana amewatia mikononi mwetu. Hiki kitakuwa kielekezo chetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wakisema hivi, Haya! Ninyi, tupandieni sisi; hapo ndipo tutakapopanda; kwa maana BWANA amewatia mikononi mwetu; na hii itakuwa ndiyo ishara kwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakisema sisi tuwaendee, basi tutawaendea maana hicho kitakuwa ni kitambulisho kwamba Yawe amewatia katika mikono yetu.”