1 Samuel 14:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapelelezi wa Shauli huko Gibea katika nchi ya Benyamini waliwaona watu wengi wakikimbia huku na huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wapelelezi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaona jeshi likitokomea pande zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wale walinzi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaangalia, na tazama, mkutano ule ulikuwa ukitoweka, na watu walikuwa wakienda huko na huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapelelezi wa Shauli huko Gibea katika nchi ya Benyamini waliwaona watu wengi wakikimbia huku na huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wapelelezi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaona jeshi likitokomea pande zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wapelelezi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaona jeshi likitokomea pande zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wale walinzi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaangalia, na tazama, mkutano ule ulikuwa ukitoweka, na watu walikuwa wakienda huku na huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapelelezi wa Shauli huko Gibea katika nchi ya Benyamini waliwaona watu wengi wakikimbia huku na huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walinzi wa Sauli waliokuwa huko Gibea wa Benyamini walikuwa wakichungulia, mara wakaona, huo mtutumo wa watu ulivyotoweka, wakienda huko na huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wale walinzi wa Sauli huko Gibea ya Benyamini wakaangalia, na tazama, mkutano ule ulikuwa ukitoweka, na watu walikuwa wakienda huko na huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapelelezi wa Saulo kule Gibea katika inchi ya Benjamina waliwaona watu wengi wakikimbia huku na huko.