1 Samuel 14:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alikuwa amepiga kambi chini ya mkomamanga huko Migroni, nje ya mji wa Gibea, akiwa pamoja na watu wapatao 600.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli alikuwa akikaa kwenye viunga vya Gibea chini ya mkomamanga huko Migroni. Alikuwa pamoja na watu wapatao mia sita;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli alikuwa akikaa katika upande wa mwisho wa Giba, chini ya mkomamanga ulioko kwenye uga; na hao watu waliokuwa pamoja naye walipata watu mia sita;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alikuwa amepiga kambi chini ya mkomamanga huko Migroni, nje ya mji wa Gibea, akiwa pamoja na watu wapatao 600.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli alikuwa akikaa kwenye viunga vya Gibea chini ya mkomamanga huko Migroni. Alikuwa pamoja na watu kama 600,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli alikuwa akikaa kwenye viunga vya Gibea chini ya mkomamanga huko Migroni. Alikuwa pamoja na watu kama 600,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli alikuwa akikaa katika viunga vya Gibea, chini ya mkomamanga uliokuwa kwenye uwanja huko Migroni; na hao watu waliokuwa pamoja naye walikuwa watu mia sita;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alikuwa amepiga kambi chini ya mkomamanga huko Migroni, nje ya mji wa Gibea, akiwa pamoja na watu wapatao 600.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Sauli alikuwa akikaa kwenye mpaka wa Gibea chini ya mkomamanga ulioko Migroni, nao watu waliokuwa naye walikuwa kama 600 tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli alikuwa akikaa katika upande wa mwisho wa Giba, chini ya mkomamanga ulioko kwenye uga; na hao watu waliokuwa pamoja naye walipata watu mia sita;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alikuwa amepiga kambi chini ya muti wa mukomamanga kule Migroni, inje ya muji wa Gibea, akiwa pamoja na watu yapata mia sita.