1 Samuel 14:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waebrania waliokuwa upande wa Wafilisti, na waliokwenda nao huko kambini, wakageuka na kujiunga na Waisraeli waliokuwa pamoja na Shauli na Yonathani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale Waebrania ambao walishakuwa pamoja na Wafilisti, na waliokuwa wamepanda pamoja nao katika kambi zao, wakaenda upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi na wale Waebrania waliokuwa pamoja na Wafilisti tangu zamani, wale waliopanda pamoja nao mpaka maragoni toka nchi iliyozunguka; watu hao nao wakageuka kuwa upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waebrania waliokuwa upande wa Wafilisti, na waliokwenda nao huko kambini, wakageuka na kujiunga na Waisraeli waliokuwa pamoja na Shauli na Yonathani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale Waebrania ambao walishakuwa pamoja na Wafilisti, na ambao walikuwa wamepanda pamoja nao katika kambi zao, wakaenda upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale Waebrania ambao walishakuwa pamoja na Wafilisti, na waliokuwa wamepanda pamoja nao katika kambi zao, wakaenda upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi na wale Waebrania waliokuwa pamoja na Wafilisti tangu zamani, wale waliopanda pamoja nao mpaka kambini toka nchi iliyozunguka; watu hao nao wakageuka kuwa upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waebrania waliokuwa upande wa Wafilisti, na waliokwenda nao huko kambini, wakageuka na kujiunga na Waisraeli waliokuwa pamoja na Shauli na Yonathani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwao Wafilisti kulikuwako Waebureo waliotekwa kale, nao walikuwa wamepanda nao kukaa makambini; nao waligeuka, wawe upande wa Waisiraeli pamoja na Sauli na Yonatani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi na wale Waebrania waliokuwa pamoja na Wafilisti tangu zamani, wale waliopanda pamoja nao mpaka maragoni toka nchi iliyozunguka; watu hao nao wakageuka kuwa upande wa Waisraeli waliokuwa pamoja na Sauli na Yonathani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waebrania waliokuwa upande wa Wafilistini, na waliokwenda nao kule katika kambi, wakageuka na kujiunga na Waisraeli waliokuwa pamoja na Saulo na Yonatani.